Waziri Mkuu atumbua jipu jengine Kigoma
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa siku 2 kwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Kigoma, Eng. John Ndunguru kukamilisha uchunguzi wake na kumpatia taarifa ya maandishi juu ya tuhuma ubadhirifu wa fedha za umma unaohusisha uuzwaji wa jengo na viwanja.