Kipindupindu bado tishio la Maisha Tanzania-Azma
Serikali imesema kuwa Licha ya juhudi za wadau wa kimataifa na serikali, ugonjwa wa kipindupindu bado umeendelea kuuwa watu wengi nchini Tanzania huku changamoto kubwa ikibainishwa kuwa watu kutozingatia usafi wa mazingira na kanuni za Afya.