Abiria wafunga barabara ya Ilonga- Mbarali
Abiria wanaosafiri na basi la Super Shem kutoka jijini Mbeya kwenda katika jiji la Mwanza wameamua kufunga barabara eneo la Ilonga wilayani Mbarali mkoani Mbeya, baada ya gari hilo kupata itilafu na kushindwa kuendelea na safari.