CUF Zanzibar yawataka wananchi kuipuuza CCM Chama cha CUF visiwani Zanzibar kimewataka wananchi visiwani humo kupuuza wito wa chama tawala Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa kuwataka wazanzibari wajiandae kwa marudio ya uchaguzi visiwani humo. Read more about CUF Zanzibar yawataka wananchi kuipuuza CCM