Tekno Miles aahidi makubwa Dar
Nyota wa muziki Augustine Miles Kelechi AKA Tekno Miles, kutoka nchini Nigeria amewasili nchini Tanzania pamoja na Dj nyota Young Guru, tayari kwa ajili ya kutoa burudani kali katika onyesho la muziki lililobatizwa jina 'Grown & Sexy'.