Serikali yaagiza upimaji haraka wa ardhi Kilosa

Mkurugenzi wa maafa ofisi ya waziri mkuu,Mbazi Msuya

Serikali imeuagiza uongozi wa wilaya halmashauri ya wilaya ya Kilosa kushughulikia haraka upimaji wa viwanja katika eneo la shamba la masugu, kata ya magomeni wilayani humo, ambalo limetengwa maalum kwa ajili ya waathirika wa mafuriko.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS