Meneja maji wilayani Hai kukamatwa kwa ubadhirifu
Halmshauri ya wilaya ya Hai imeamuru kukamatwa kwa meneja wa mamlaka ya maji ya wa wilaya hiyo Rojas Marando pamoja na mhasibu wa mamlaka hiyo Devotha Mwambuli kwa tuhuma za kufanya ubadhirifu wa shilingi milioni 98 kwa ajili ya mita za maji.