Thriller ya Michael jackson yafikia 30X Platnum. Shirikisho la kurekodi nchini Marekani RIAA, limeitaja albam ya Thriller ya Michael Jackson ambayo ilitoka mwaka 1982, kuwa albam bora ya iliyofikia 30X Platnum. Read more about Thriller ya Michael jackson yafikia 30X Platnum.