Lowassa kuzunguka nchi nzima kutoa shukrani.

Aliyekuwa mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) chini ya mwamvuli wa UKAWA, ndugu Edward Lowassa anatarajiwa kuzungumza na wananchi wa Tanga katika mkutano wa hadhara utakaofanyika mjini Tanga siku ya Alhamisi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS