TFF yaombwa kuwa makini na marefa michezo ya FA

kikosi cha timu ya Green Warriors kwenye picha ya pamoja kabla ya moja ya mechi ya ligi daraja la pili msimu huu.

Uongozi wa klabu ya Green Warrios ya ligi daraja la pili umelitaka shirikisho la soka nchini TFF kuhakikisha linasimamia vizuri mashindano ya ligi hiyo na ile ya kombe la FA ili kuepusha kuvunjwa kwa kanuni na sheria 17 za soka.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS