Serikali idhibiti dawa za Kulevya-Kibona
Muungano wa mashirika ya kuinua vipaji vya vijana nchini yanayofadhiliwa na shirika la kimataifa la Oxfam Program ya Tanzania wameiomba serikali kuhakikisha inadhibiti uingizaji na matumizi ya dawa za kulevya nchini.