Ni wakati wa watumishi kuwajibika: Simbachawene
Waziri wa nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Utumishi na Utawala bora George Simbachawene amewataka watendaji wa wizara hiyo kufanya kazi kwa kufuata maadili na kuacha kufanya kwa mazoea ili kuharakisha maendeleo.