Hery Mzozo atoa pendekezo kwa TFF na Wizara
Baada ya kutinga hatua ya raundi ya tatu ya kombe la FA uongozi wa klabu ya Friends Rangers ya jijini Dar es salaam umelitaka shirikisho la soka nchini TFF kuangalia namna ya kuwaondoa viongozi wa klabu wenye maslahi binafsi kwenye bodi ya ligi.