Mtanzania Rachel kupewa tuzo na Malkia Elizabeth Mtanzania Rachel Nungu ametajwa kuwa miongoni mwa vijana 60 ambao wanatarajiwa kupewa tuzo za viongozi wa kipekee kutoka nchi za jumuiya ya madola, ambayo itakabidhiwa nna Malkia Elizabeth. Read more about Mtanzania Rachel kupewa tuzo na Malkia Elizabeth