Watoto wa Teggo nao washika Mic
Mwimbaji maarufu wa miondoko ya Taarab Omar Tego kutoka kundi maarufu la miondoko hiyo ya taaraba la Coast Modern Taarab, ameamua kuwekeza nguvu zaidi kwa kuibua kikundi cha vipaji vya watoto wao ambao wanajulikana kwa jina la Vijukuu wa Teggo.

