Muchoma adondosha kitu kipya cha 'My love'
Msanii Gakuba Didier marufu kwa jina la Muchoma anayetokea nchini Rwanda ameachia ngoma yake mpya inayojulikana kwa jina la 'My love' ambapo anajaribu kueleza alivyompenda binti.
Muchoma ambaye kwa sasa makazi yake ni huko USA Austin Texas anasema wimbo huu wa 'My love' ni wimbo unaohusu mapenzi ambapo anakuwa amempenda binti lakini wazazi wake hawamtaki.