Wakuu wa mikoa watakiwa kusimamia zoezi la usafi
Kufuatia agizo alilolitoa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kuwa maadhimisho ya sherehe za uhuru tarehe 09 Desemba, 2015 zifanyike kwa kufanya usafi nchi nzima ili kuondokana na hali ya uchafu unaosababisha magonjwa.