Bado namfuatilia Adi Yusufu wa Mansfield -Mkwasa
Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars), Charles Boniface Mkwasa amesema bado anamfuatilia mshambuliaji wa Tanzania Yusufu Adi anayecheza kwenye klabu ya Mansfield Town ya ligi daraja la pili nchini Uingereza.


