Mwalimu asakwa kwa kubaka wanafunzi wanne Njombe Kamanda wa polisi mkoa wa Njombe Wilbrod Mtafungwa JESHI la polisi mkoani Njombe linamsaka mwalimu wa shule la msingi Kimbembe wilayani Ludewa mkoani Njombe kwa tuhuma za kubaka wanafunzi wanne wa shule hiyo. Read more about Mwalimu asakwa kwa kubaka wanafunzi wanne Njombe