Skonga Mzazi/mlezi kumchagulia mwanaye (mwanafunzi) masomo ya kusoma ni sahihi au mwanafunzi achague mwenyewe? Wanafunzi kutoka TAMBAZA HIGH SCHOOL wanajadili hilo kwenye #SKONGA jumamosi hii saa 12:00 jioni.USIKOSE Submitted by richard on Jumatano , 6th Jan , 2016 Read more about Skonga