Dkt. Magufuli asamehe wafungwa zaidi ya elfu mbili
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametoa msamaha kwa wafungwa zaidi ya elfu mbili huku wafungwa 117 wakitarajiwa kuachiwa huru ikiwa ni sehemu ya kadhimisha sherehe za Desemba 9.