Nitafanya kazi yoyote akinipa Rais Magufuli- Mkapa
Rais Dr. John Pombe Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi waandamizi wa serikali za awamu zilizopita ambapo hii leo amekutana na Rais mstaafu wa awamu ya tatu Benjamin Mkapa na Jaji Mstaafu Joseph Warioba Ikulu