Mtibwa Sugar kuishukia Mbeya city Jumamosi hii.

Kikosi cha zamani cha Mtibwa Sugar kilichotamba msimu uliopita

Klabu ya mtibwa sukari imeondoka mapema asubuhi leo mkoani Morogoro ikielekea jijini Mbeya kwa ajili ya mtanange wao dhidi ya wagonga nyundo wa jiji hilo klabu ya Mbeya City utakaopigwa Jumamosi hii ikiwa ni muendelezo wa ligi kuu Tanzania bara

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS