Harmonise ajibu mashambulizi ya Rose

Nyota wa muziki nchini Harmonise

Nyota wa muziki Harmonise, leo hii amezungumza kwa kirefu kufafanua tuhuma za kutoa kauli tata inayoashiria kuwepo uhusiano kati yake na mwigizaji Rose Ndauka ambayo imepelekea kuvurugika kwa maelewano kati yao na kushambuliana kwa njia ya mtandao.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS