Mabadiliko ya kambi, itaipa nguvu timu - Kibaden Katika kuhakikisha JKT Ruvu haishuki daraja, kocha wa kikosi hicho, Abdallah King Kibadeni, amesema hana masihara na ameamua kuendeleza mazoezi kipindi hiki cha likizo fupi ya wiki mbili. Read more about Mabadiliko ya kambi, itaipa nguvu timu - Kibaden