Magufuli atinga kwenye usafi. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dkt. John Pombe Magufuli, leo ameshiriki zoezi la usafi katika kuadhimisha miaka 54 ya uhuru wa Tanzania bara. Read more about Magufuli atinga kwenye usafi.