Dola Bilioni 1 kukabili mabadiliko ya tabia nchi

Balozi wa Tanzania Ufaransa - Begum Karim-Taj

Mkutano wa mabadiliko ya tabia nchi ukiendelea huko Paris, Ufaransa, Tanzania imesema inahitaji dola kuanzia milioni 500 hadi bilioni moja kwa ajili ya kuhimili na dola bilioni 60 kukabili athari za mabadiliko ya tabia nchi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS