Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungungua tawi la Benki ya Posta la Songea akiwa katika ziara ya mkoa wa Ruvuma
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amekagua jengo la Makao Makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya Songea lililopo katika kijiji cha Lundusi, Wilaya ya Peramiho mkoani Ruvuma.