Watano wafa kwa kuvusha Ng'ombe mto Malagarasi
Watu watano na zaidi ya Ng’ombe 20, wamekufa kwa kusombwa na maji na wengine kuliwa na mamba katika mto malagarasi wilayani Uvinza mkoani Kigoma katika kipindi cha miezi sita wakati wakivusha Ng’ombe upande wa pili wa mto .