Naj: Wasanii hawarudishi pesa katika muziki
Naj Dattani, msanii wa muziki ambaye ujio wake mpya umeweza kueleweka na wengi, ameeleza namna wasanii wengi wanavyoshidwa kuendelea katika game, kutokana na kutokurejesha faida wanazojivunia katika muziki kuwekeza katika sana hiyo hiyo.