Serikali haijaridhia nauli za mabasi mwendo kasi

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali haijaridhia viwango vipya vya nauli ya mabasi yaendayo kasi vilivyopendekezwa na waendeshaji wa huduma ya mabasi yaendayo kasi Dar es salaam (UDART).

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS