Serikali ya Tanzania kuwezesha wananchi kiuchumi Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa amesema Serikali imebuni na kuanza kutekeleza Sera ya Uwekezaji ili kufikia lengo la kuwawezesha wananchi kiuchumi. Read more about Serikali ya Tanzania kuwezesha wananchi kiuchumi