Kocha Twiga Stars aongeza wawili kutoka Zanzibar
Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya wanawake, Twiga Stars Nasra Juma amesema atatumia vizuri muda mchache uliopo kwa ajili ya maandalizi ya mechi dhidi ya Zimbabwe na kikosi chake kipo tayari kwa ajili ya mchezo huo.

