Yanga na safari ya Mauritius kesho, yaacha watatu
Mabingwa watetezi wa Ligi kuu ya Soka Tanzania Bara Young African wanatarajia kuondoka hapo kesho alfajiri kuelekea nchini Mauritius kujiandaa na mchezo wa kwanza dhidi ya Cercle De Joachim huku ikiwaacha wachezaji wake watatu nchini.

