Hatukati tamaa mpaka mwisho wa msimu – Mbonde

Mlinzi wa kati na nahodha msaidizi wa timu ya Mtibwa Sugar, Salim Mbonde amesema hawatishiki na pengo la pointi kumi lilipo kati yao na Yanga katika msimamo wa ligi zaidi ya kuweka nia katika mbio za ubingwa hadi mwisho wa msimu ili kujua hatma yao.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS