Phiri wa Free State awa kocha mkuu Mbeya City Kocha Kinnah Phiri aliyekuwa akikinoa kikosi cha Free State ya Afrika Kusini ametua Mbeya City na kusaini mkataba wa miaka miwili kukifundisha kikosi hicho. Read more about Phiri wa Free State awa kocha mkuu Mbeya City