Maandamano ya CHADEMA Ikulu, yapigwa marufuku Jeshi la Polisi kanda maalum ya Dar es salaam limepiga Marufuku Maandamano yaliyopangwa kufanyika hapo kesho na Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA. Read more about Maandamano ya CHADEMA Ikulu, yapigwa marufuku