Ray Kigosi apigilia msumari mwingine kwa Batuli
Staa wa filamu Vicent Kigosi, maarufu kama Ray ameeleza mustakabali wa filamu yake mpya inayokwenda kwa jina Tajiri Mfupi aliyomshirikisha ndani yake staa wa filamu Batuli ambaye anamtuhumu kwa kutokumlipa chake kwa ushiriki wake ndani ya kazi hiyo.

