Nampenda Yemi Alade ila sina namba zake - J Nature

Msanii mkongwe wa muziki wa kizazi kipya Juma Kassim a.k.a Juma Nature, amesema anampenda msanii wa kike wa Nigeria Yemi alade anavyofanya kazi zake na anapenda kufanya kolabo naye kolabo lakini mpaka sasa hajafanikiwa kupata mawasiliano yake.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS