Eddie anastahili heshima zaidi ya Lupita - Nonini

Rapper mkongwe kwenye tasnia ya muziki nchini Kenya Hubert Nakitare maarufu kama Nonini, amewajia juu Wakenya wanaomsifia Lupita Nyong'o na kumuacha msanii mkongwe kutoka nchi hiyo aliyekuwa Hollywood Eddi Gathegi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS