CT Scan Mpya ya Muhimbili ilitolewa Dodoma- Nkamia
Serikali imekiri kwamba CT Scan mpya iliyonunuliwa kuziba pengo la kuharibika kwa iliyokuwepo katika hospitali ya Muhimbili Dar es salaam ilitolewa hospitali ya Benjamin Mkapa Ultra modern Hospitali mkoani Dodoma

