Mimi ni 'Brand' -Kitale

Msanii wa komedi bongo Mussa Yusuph maarufu kama ''Kitale'' amesema yeye ni brand hivyo huwa anahakikisha kila siku lazima ajiweke katika hali nzuri ya kimasoko ili watu mbalimbali waweze kumtafuta ili afanye nao kazi mbalimbali.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS