15% ya wanawake nchini wamekeketwa -Kigwangalla Naibu waziri wa afya,maendeleo ya jamii,jinsia wazee na watoto Dkt. Khamis Kigwangalla amesema asilimia 15 ya wanawake nchini wamekeketwa ambapo mikoa minne ndiyo kinara wa tatizo hilo. Read more about 15% ya wanawake nchini wamekeketwa -Kigwangalla