Mani Martin azidi kupamba moto, wengi wapagawa
Mmoja kati ya nguzo muhimu za muziki wa Rwanda Mani Martin, kwa mara nyingine tena amewadhihirishia wana Afrika Mashariki kuwa ni msanii mkubwa, ambapo amewaacha hoi mashabiki zake kwenye tamasha la Hobe Africa Festival wikiendi hii.

