Kiganja aanza kazi kwa kishindo BMT

Kaimu Katibu Mkuu mpya wa Baraza la Michezo Tanzania BMT Mohamed Kiganja, ametoa maagizo kwa maafisa wa Baraza hilo kusimamia sheria zilizounda chombo hicho ili kutekeleza sera zilizowekwa na serikali, juu ya michezo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS