Yanga yapongeza wachezaji ushindi dhidi ya Simba

Uongozi wa klabu ya Yanga ya jijini Dar es salaam, umepongeza wachezaji, benchi la ufundi na kocha wa timu hiyo Hans Van Plujm kwa ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Simba katika mchezo wa ligi kuu Tanzania bara uliopigwa Jumamosi Julai 20 mwaka huu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS