Wenger awataka wachezaji wake kumnyamazisha Suarez
Kocha mkuu wa klabu ya Arsenal Mfaransa Asern Wenger amesema vijana wake wanapaswa kuhakikisha wanamnyamazisha Luis Suarez kama wanataka kuwafunga mabingwa watetezi wa michuano ya klabu bingwa barani Ulaya FC Barcelona hapo kesho.
