Michuano ya kombe la Shirikisho kuendelea wiki hii Michuano ya Kombe la Shirikisho (Federation Cup) inatarajiwa kuendelea wiki hii mzunguko wa nne katika hatua ya 16 bora, kwa michezo nane kuchezwa katika viwanja mbalimbali nchini. Read more about Michuano ya kombe la Shirikisho kuendelea wiki hii