Kesi ya kupinga matokeo Njombe yaanza kuunguruma MAHAKAMA kuu kanda ya Iringa imetoa siku nne kwa walalamikiwa kumpa majibu wakili wa upande wa mashitaka katika kesi ya kupinga matokeo ya mwaka 2016 iliyoanza kusikilizwa jana mkoani Njombe. Read more about Kesi ya kupinga matokeo Njombe yaanza kuunguruma