Serikali kusambaza madaktari bingwa mikoa tisa
Serikali imesema kuwa itasambaza madaktari bingwa katika mikoa tisa yenye uhaba mkubwa wa madaktari hao ili kuboresha sekta ya Afya katika maeneo hayo na kuepusha gharama za wagonjwa kusafirishwa mbali kwenda kupata huduma.